"Assalam Alaikum" Nyimbo
"Assalam Alaikum" ili ndi mawu m'chinenero swahili.
"Assalam Alaikum" tanthawuzo limachokera ku swahili chinenero ndipo pano silinatembenuzidwe kumasuliridwa mu Chingerezi.
Tunakuletea Assalam Alaikum, wimbo mpya wa Amapiano kutoka kwa Beka Flavour! Wimbo huu unakuja na midundo mizito ya Amapiano iliyochanganywa na ladha ya kipekee ya Bongo Flava. Assalam Alaikum ni wimbo wa kushukuru na kusherehekea maisha, ukiwa na mashairi yenye ujumbe mzuri na vionjo vya kipekee vinavyoamsha hisia.
🔥 Sikiliza sasa na usisahau ku-LIKE, KUSHARE na KUSUBSCRIBE kwa maudhui zaidi!
📥 Pakua / Sikiliza kwenye Digital Platforms:
📲 Follow Beka Flavour:
👉 Instagram:
👉 Facebook: Beka Flavour
👉 TikTok:
@bekaflavour1?_t=ZM-8tW5MWJPYs2&_r=1
#BekaFlavour #AssalamAlaikum #Amapiano #TanzaniaMusic #BongoFlava